Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) wakiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADCPF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto), Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 Comments