Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa
Dodoma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5,
2017, baada ya safari ya Singida, Lindi na Dar es salaam. Kulia kwake
ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mekewe Mary wakiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Benilith Mahenge
wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017.
Mheshimiwa Majaliwa amerejea Dodoma baada ya safari katika mikoa ya
Singida, Lindi na Dar es salaam.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


0 Comments