Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw.
Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura
mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa
Kichangani mjini Iringa leo akiwashinda wapinzani wake wawili Bw. Evance
Balama na Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu
ya Taifa NEC mkoa wa Iringa.
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw.
Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura na
kuelezea Dira na Mwelekeo wa Uongozi wake mara baada ya kushinda
uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa,
katikati ni Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa na kushoto ni Msimamizi wa
Uchaguzi huo Mh. Januari Makamba.
Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
(NEC) mkoa wa Iringa katika uchaguzi huo akiwashukuru wapiga kura mara
baada ya kutangazwa mshindi kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh.
Januari Makamba na kulia ni Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi
Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw.
Albert Chalamila kulia na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa wakiwashukuru wana CCM mkoa wa
Iringa kwa kuwaamini na kuwapa ridhaa ya kukiongoza chama hicho.
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw.
Albert Chalamila kuli na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu
ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya kutangazwa washindi katika uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw.
Albert Chalamila na Bw. Salim Abri Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya
Taifa NEC mkoa wa Iringa wakiwa wakii.furahi paoja na wapiga kura mara
baada ya kutangazwa washind
Salim Abri Asas Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM( NEC)
akipongezwa na wanachama mbalimbali wa CCM mara baada ya kutangazwa
mshindi katika uchaguzi huo.
Wapiga kura wakiendelea na upigaji wa kura wakati wa uchaguzi huo.
Kura zikiendelea kupigwa









0 Comments