Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga, mkoani Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyesha muonekano wa kitabu cha Uzalendo na Utaifa mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga mkoani Dodoma
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)




0 Comments