Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa
kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza
Melkior Komba, Katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Viatu hivyo
vimetengenezwa na kiwanda cha Jeshi la Magereza Karanga kilichopo Moshi Mkoani
Kilimanjaro.
PICHA NA IKULU

0 Comments