Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM , Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wajumbe wa mkutano Umoja wa Wanawake
Tanzania (UWT) kabla ya kufungua mkutano wao wa Tisa uliofanyika katika ukumbi
wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma.
Wajumbe wa mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakishangilia kabla ya ufunguzi wa mkutano huo wa tisa wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akizungumza katika mkutano huo wa UWT
uliofanyika mjini Dodoma.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akivalishwa Kitambaa kichwani mara baada ya
kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkutano wa tisa wa (UWT)
uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna
Mghwira mara baada ya kuhamia rasmi katika Chama cha Mapinduzi CCM katika
mkutano wa wa tisa wa UWT uliofanyika mjini Dodoma.
Mjane
wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Anna Mghwira mara baada ya kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM katika
mkutano wa tisa wa UWT uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiimba nyimbo za CCM pamoja na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan wa pili kutoka (kushoto), Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wa pili
kutoka (kulia), Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakwanza kulia mara baada ya
ufunguzi wa Mkutano wa tisa wa UWT uliofanyika mjini Dodoma.
Naibu
Spika Dkt. Tulia Ackson akishangilia katika mkutano huo wa tisa wa UWT
uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo mara
baada ya kufungua mkutano huo wa tisa wa (UWT) mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Taifa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja
na bendi ya Tanzania One Theater TOT wakati ikitumbuiza katika mkutano huo wa
tisa wa UWT uliofanyika mjini Dodoma.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akicheza pamoja na wajumbe wengine wa UWT mara
baada ya ufunguzi wa mkutano huo wa tisa wa UWT uliofanyika mjini Dodoma.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wajumbe wa Mkutano wa Tisa wa UWT
mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Taifa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Mama
Maria Nyerere ambaye pia alihudhuria katika mkutano huo wa wa Tisa wa UWT
uliofanyika mjini Dodoma.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza jambo na Mama Maria Nyerere mara baada
ya ufunguzi wa mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT uliofanyika mjini
Dodoma.
PICHA NA IKULU

















0 Comments