Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga makofi pamoja na Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana wakati
alipokuwa akiwasili katika eneo la Mkutano na Wajumbe wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC
(hawaonekani pichani) katika eneo la Mkutano mjini Dodoma. Kulia ni
Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana
Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar
Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip
Mangula mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano wa na wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC mjini
Dodoma. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa
Zanzibar, Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein aliyeketi pamoja na Katibu
Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC mjini
Dodoma.
Wajumbe mbalimbali wa NEC wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli
alipokuwa akiwasikiliza wajumbe mbalimbali wa NEC walipokuwa
wakijitambulisha katika mkutano huo wa NEC mjini Dodoma.

0 Comments