Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kushoto) akizungumza
na Watumishi wa Kijiji cha
Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki kujionea shughuli zinazofanywa kijijini hapo. (Picha na Lusungu Helela-MNRT
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kushoto) akinywa maji ya dafu mara baada ya kutembelea
kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara
mwishoni mwa wiki kujionea shughuli
zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa
Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax Mabula
pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert (wa tatu
kushoto) (Picha na Lusungu Helela-MNRT)
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya
Taifa, Prof. Audax na Mabula ( wa tatu
kulia) wakinywa maji ya dafu mara baada
ya kutembelea kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara
mwishoni mwa wiki kujionea shughuli
zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi. Wa kwanza kulia
ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert, Wengine ni
watumishi wa Makumbusho ya Taifa makao Makuu jijini Dar es Salaam. (Picha na Lusungu Helela-MNRT
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kulia) akipewa maji ya dafu
na mmoja wa Watumishi wa Kijiji cha Makumbusho mara baada ya kutembelea
hapo wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki
kujionea shughuli zinazofanywa k pamoja na kuzungumza na Watumishi. Wa
kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert (wa
pili kulia) (Picha na Lusungu
Helela-MNRT)
Baadhi
ya Wasanii wakitumbuiza ikiwa ni ishara ya kumkaribisha Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga
alipotembelea Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati
alipofanya ziara mwishoni mwa wiki kujionea
shughuli zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi. (Picha na Lusungu Helela-MNRT
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (
kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax
Mabula (kushoto) wakimsiliza kwa makini Mhifadhi Mila Mwandamizi, Wilbard Hema
(mbele) wakati akiwapa maelezo kabla ya
kutembelea baadhi ya nyumba za makabila
33 zilizopo kwenye Kijiji cha
Makumbusho ambapo Naibu Waziri
Hasunga alipofanya ziara mwishoni mwa wiki.
Nyuma ya Naibu Waziri ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho,
Agnes Robert. (Picha na Lusungu
Helela-MNRT







0 Comments