Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua rasmi
Tawi la Benki ya CRDB lililopo katikati ya mjini wa Dodoma. Wengine katika
picha ni Mke wake Mama Janeth Magufuli watatu kutoka (kushoto), Waziri Mkuu
mstaafu Mzee John Samwel Malecela wanne kutoka kushoto pamoja na viongozi
wengine wa kitaifa na wa mkoa wa Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na
Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
pamoja na viongozi wengine mara baada ya kufungua rasmi Tawi hilo la Benki ya
Biashara ya CRDB lililopo mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
kuashiria ufunguzi wa Tawi hilo la Benki ya Biashara ya CRDB lililopo mjini
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla
ya ufunguzi wa Tawi jipya la Benki ya CRDB lililopo mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa
Hundi ya kiasi cha Tsh. Milioni mia moja kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei kwa ajili ya ujenzi wa Wodi ya wagonjwa
itakayojengwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi mkuu wa
mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahenge
hundi hiyo ya kiashi cha Tsh. Milioni mia moja (100,000,000/=) itakayotumika
katika ujenzi wa Wodi ya wagonjwa itakayojengwa katika Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Spika wa Bunge Job Ndugai wakati alipokuwa akitoka ndani ya Tawi jipya la Benki
ya CRDB lililopo mjini Dodoma.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB
mara baada ya sherehe za ufunguzi wa Tawi jipya la CRDB lililopo mjini Dodoma.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB
mara baada ya sherehe za ufunguzi wa Tawi jipya la CRDB lililopo mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amekaa na
Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela, katika eneo la wateja maalum wa
Benki ya CRDB ndani ya Tawi hilo jipya alilolifungua.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei mara baada ya kufungua
Tawi jipya la CRDB lililopo mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri
Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela mara baada ya ufunguzi wa Tawi la Benki
ya CRDB lililopo mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na msanii Peter Msechu aliyekuwa akitumbuiza na
Bendi yake katika sherehe za ufunguzi wa Tawi jipya la CRDB lililopo mjini
Dodoma.
PICHA NA IKULU















0 Comments