Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli na
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Bi.Bella Bird wakiweka jiwe la
msingi katika jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika eneo la
Makulu Mjini Dodoma.
PICHA IKULU NA MAELEZO DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Miles
wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi ya
Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipeana mikono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini
Mhe. Bella Bird wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo
la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya
Takwimu Bw. Andrew Wilson Massawe wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la
msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipokea kutoka kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip
Mpango ramani yab Tanzania yenye kuonesha takwimu ya hali ya maambukizi
ya VVU kimkoa wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la
ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo
la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) Dkt.Albina
Chuwa akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la
Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Philip Mpango akimkaribisha
mgeni rasmi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Ofisi
ya Taifa ya Takwimu katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakisikiliza hotuba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli wakati wa
hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu
katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) wakifuatilia
matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la
Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.










0 Comments