Simu Janja siku hizi zinakuja huku zikiwa na maboresho ya hali ya juu. Huyu akiweka kamera nzuri kampuni pinzani na yenyewe inafanya hivyo huku ikiongezea maboresho mengine.
Ni wazi kwamba simu za Samsung ndio zinazoongoza katika soko la dunia la simu. TECNO nao hawapo nyuma katika kuhakikisha wanampatia mteja kile kilicho bora zaidi.
Leo nataka kulinganisha simu hizi mbili kwa haraka haraka (TECNO Phantom 8 na Samsung
Galaxy Note 8) ili ujionee yale yaliyomo ndani katika simu hizi.
Meonekano Wa Nyuma Kati Ya Phantom 8 Na Galaxy Note 8
Kilinganisho Phantom 8 na Note 8
Resolution ya Kioo kati ya Phantom 8 na Note 8 ya Samsung.
RAM
Mega Pixels (MP)
|
GB 6
Kamera Ya Mbele 20MP, Yenye
|
GB 6
Kamera Ya Mbele 8MP na
|
Flash Mbili na Kamera Ya Nyuma Ziko Mbili 12MP + 13MP, Uwezo Wa Kuzoom Mara 10 Zaidi
|
Kamera Ya Nyuma Ziko Mbili Zote Zikiwa Na 12MP lakini Kazi Ni Tofauti Tofauti.
| |
Kamera Mbili?
|
Ndio - Nyuma Ziko Mbili
|
Ndio - Nyuma Ziko Mbili
|
Uwezo Wa Betri
|
3,500mAh - Haliwezi Toka
|
3,300mAh - Haliwezi Toka
|
Prosesa
|
Octa core 2.6 GHz
|
Octa-core (2.3GHz Quad
+1.7GHz Quad), 64-bit, 10nm processor
|
Network
|
Inaruhusu Mpaka 4G
|
Inaruhusu Mpaka 4G
|
Ujazo Wa Ndani
(ROM)
|
GB 64
|
GB 64/128/256
|
Memori Kadi?
|
Inaruhusu
|
Inaruhusu
|
Uwezo Wa Kioo
|
1920*1080 FHD
|
1440 x 2960 pixels
|
Aina Ya Kioo
|
IPS (LCD)
|
AMOLED
|
Ukubwa Wa Kioo
|
Inchi 5.7
|
Inchi 6.3
|
Utambuzi Wa Alama
Za Vidole?
|
Ndio - Upo Kwa Nyuma
|
Ndio - Upo Kwa Nyuma
|
Rangi Zilizopo
|
Champagne Gold, Phantom Black
Na Galaxy Blue
|
Midnight Black, Deepsea Blue, Orchid Gray Na Maple Gold
|
Ukubwa
(Wembamba)159.95 x 79.5 x 7,9 m
(wembamba 5.6mm)
Muonekano Wakati Wa kupiga Picha. Phantom 8 Ikiwa Katika 'ReFocus' Wakati Note 8 Ikiwa
Katika 'Live Focus'
Simu zote mbili hizi ni kali na ni za kisasa zaidi. Niandikie hapo chini sehemu ya comment. Wewe hili umelipokeaje? ningependa kusikia kutoka kwako.
Kumbuka Kutembelea TeknoKona Kila Siku Kwani Daima Tupo Nawe
Katika Teknolojia!
0 Comments