Random Posts

Mahafari ya 20 ya Chuo cha Diplomasia Wanahabari Watunukiwa Stashahada ya Uzamili Katika Usimamizi wa Masuala ya Uhusiano wa Kimataifa Jijini Dar es Salaam.

 Mtangazaji wa  BBC idhaa ya Kiswahili Leonard Mubali (kushoto)na Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila,wakipongezana baada ya kutunukiwa Stashahada  ya Uzamili katika Usimamizi wa masuala ya Uhusiano wa Kimataifa wakati wa mahali ya 20 ya Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Saalam.
 Kutoka kushoto Mtangazaji wa  BBC idhaa ya Kiswahili Leonard Mubali ,Meneja Msaidizi wa Uendeshaji wa kampuni ya Kimataifa ya Huduma za Makontena (TICTS) Goodluck Ng’ingo pamoja na  Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila,wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ,Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bi  Segolena Francis   baada ya kutunukiwa Stashahada  ya Uzamili katika Usimamizi wa masuala ya Uhusiano wa Kimataifa wakati wa mahali ya 20 ya Chuo cha Diplomasia, Kurasini jijini Dar es Saalam.

Post a Comment

0 Comments