Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana
mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga aliyefika Ikulu kwa
ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens
Luoga mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu
ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga wa kwanza (kushoto) pamoja na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu wa kwanza
(kulia) mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens
Luoga wa kwanza (kushoto) pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza
muda wake Profesa Benno Ndulu wa kwanza (kulia) mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wanahabari kuhusu masuala mbalimbali ya kifedha. Kushoto ni Gavana Mteule wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga pamoja na Gavana wa Benki Kuu
ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika
mikono na kuwanyanyua juu kwa furaha Gavana Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOT) Profesa Florens Luoga (kushoto) pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania
(BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno
Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
na Gavana Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Gavana Mteule wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga akipongezana na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu
jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU














0 Comments