Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Balozi mteule wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos wakati
alipokuwa akijitambulisha kabla ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya
kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya
kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara mara baada ya kupokea Hati zake za
Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Mali hapa nchini
Fafre Camara Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza
Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said wakati akijitambulisha kabla ya
kuwasilisha Hati za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga kwa Balozi
wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor mara baada ya mazungumzo
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia kitabu alichopewa na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez
Bustillo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini Uriel Norman
Garibay Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagan
na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Uriel Norman Garibay Ikulu jijini Dar es
Salaam.
PICHA NA IKULU

0 Comments