Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye Gadi
ya Jeshi ya heshma pamoja na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada
ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA)
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za
asili (hazionekani pichani ) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea Ikulu kwa ajili ya
mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia frame ya
Picha ya Kiasili aliyokabidhiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla
ya kuanza kwa mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kumpokea
mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
0 Comments