Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), kulia, akishiriki mjadala
katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa na Shirika la Utangazaji
la Taifa (TBC). Mhe. Mkuchika katika mjadala huo amesisitiza Watumishi
wa Umma nchini wanatakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo ya
nchi na kuleta mabadiliko kwa wananchi ambao ndio wadau wakuu wa
Serikali.

0 Comments