Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisoma maneno yalioandikwa kwenye jiwe la msingi mara baada ya
kufungua jengo la upasuaji kwenye hospitali ya Wilaya ya Maswa mkoani
Simiyu.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais akimsabahi Mtoto Mchanga pamoja na Mama yake Bi. Mariam
Patrik mkazi wa Nyashimba ambaye amejifungua katika wodi ya wazazi ya
hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbali mbali wa mkoa wa
Simiyu mara baada ya kufungua jengo la Upasuaji lililopewa jina la Samia
Suluhu Hassan Operating Theatre.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya wilaya ya Maswa mara
baada ya kufungua jengo la upasuaji.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)






0 Comments