Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akikata utepe pamoja na viongozi wa mkoa wa Simiyu kama ishara ya
ufunguzi wa jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya
Wilaya ya Itilima lenye vyumba 43 vya kufanyia kazi. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Hili ndo jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima lenye vyumba 43 vya kufanyia kazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kufungua jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima lenye vyumba 43 vya kufanyia kazi.



0 Comments