Jeneza lililobeba mwili wa mwanasiasa mkongwe na kiongozi wa muda mrefu marehemu Kingunge Ngombale Mwiru ukiwasili kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombolezo ya msiba wa
Kingunge Ngombale Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
muda mfupi kabla ya kutoa heshima za mwisho. (Picha na Ofisi ya Makamu
wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa
mwanasiasa mkongwe na kiongozi wa muda mrefu marehemu Kingunge Ngombale
Mwiru kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimpa mkono wa pole mtoto wa kiume wa marehemu Kingunge
anayefahamika kwa jina la Kinjekitile mara baada ya kutoa heshima za
mwisho katika viwanja vya Karimjee.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment