Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akijiandaa kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika
Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali
mara baada ya kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
mchanga kwenye Kaburi la marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa awamu ya
Tatu Benjamini Wiliam Mkapa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete mara baada ya kuweka udogo kwenye kaburi la marehemu Mzee
Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wajukuu
wa marehemu pamoja na wafiwa wengine wakiwa katika hali ya majonzi makaburini
hapo.
Rais
Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamini Wiliam Mkapa akiweka shada la maua katika
kaburi la marehemu Mzee Kingunge
Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na waombolezaji mara baada ya maziko ya marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment