Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiangalia Vifaa vya Walemavu vilivyotolewa na Serikali ya Kuwait
,pichani ni Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al Najem (katikati) na
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye
Ulemavu, Stella Ikupa
.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiangalia baadhi ya vifaa vya walemavu vilivyokabidhiwa na
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al Najem, wengine pichani ni Msaidizi
wa Balozi wa Kuwait Bi. Zainab Ally (kushoto) na
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye
Ulemavu, Stella Ikupa
.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akijaribu kusukuma kiti maalum cha magurudumu kwa ajili ya
walemavu mara baada ya kukabidhiwa na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem
Al Najem (kulia), wengine pichani ni
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye
Ulemavu, Stella Ikupa
na Msaidizi wa Balozi wa Kuwait nchini Bi. Zainab Ally.
(Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)

0 Comments