Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Rais wa Uganda Yoweri Museveni pamoja na
viongozi wengine wa Jumuiya hiyo katika siku ya mwisho ya Kikao chao
kilichofanyika Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anatoka katika
ukumbi wa mkutano pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya
kumalizika kwa vikao vya Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC
vilivyofanyika Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta, Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na viongozi
wengine wa Jumuiya hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi mbalimbali
waliohudhuria mkutano wa EAC katika siku ya mwisho jijini Kampala nchini
Uganda.
PICHA NA IKULU




0 Comments