Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala
nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala
nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Kampala nchini
Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kupiga picha ya pamoja na Mawaziri
pande zote mbili za Kenya na Tanzania mara baada ya kikao chao Kampala nchini
Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara
baada ya kikao chake na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Kampala jijini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi ajambo na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Kampala jijini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Kampala jijini
Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir kabla ya mazungumzo yao jijini Kampala.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Kampala Uganda-
PICHA NA IKULU













0 Comments