Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini
Mkapa ambaye ni mratibu wa Mazungumzo ya amani ya Burundi, Kampala nchini
Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Mratibu wa mazungumzo ya amani ya Burundi Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Benjamini Mkapa, Kampala nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Makamu wa Rais wa Burundi Gaston Sindimwo kabla ya mazungumzo yao Kampala nchini
Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Makamu wa Rais wa Burundi Gaston Sindimwo, Kampala nchini Uganda.
Makamu
wa Rais wa Burundi Gaston
Sindimwo akizungumza mara baada ya kikao chake na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kampala nchini Uganda. PICHA NA IKULU





0 Comments