Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika
uwanja wa ndege wa Entebe mara baada ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC ambao ulimalizika hapo jana jijini Kampala
nchini Uganda.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
viongozi mbalimbali wa Kiserikali na Kijeshi kutoka Uganda kabla ya kurejea
nchini.
PICHA NA IKULU
0 Comments