Random Posts

Serikali ya Tanzania Yaishukuru Serikali ya Japani kwa Ushirikiano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiwa katika kikao na Balozi wa Japani nchini, Mhe. Masaharu Yoshida (wa kwanza kulia) kilichofanyika Februari 21, 2018 ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Balozi wa Japani nchini, Mhe. Masaharu Yoshida (hayupo pichani) wakati wa kikao na Balozi huyo ofisini kwake Februari 21, 2018 jijini Dar es Salaam
    Balozi wa Japani, nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) hayupo pichani wakati wa kikao ofisini
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akifafanua jambo kwa Balozi wa Japani nchini, Mhe. Masaharu Yoshida (hayupo pichani) wakati wa kikao na Balozi huyo 
Balozi wa Japani, nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida akielezea jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) hayupo pichani wakati wa kikao hicho.

Post a Comment

0 Comments