Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Msafiri Marwa akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini mara baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi Februari 21, 2018.
Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Ofisi ya Rais-Menejimenti
ya Utumishi wa Umma, Bw. Msafiri Marwa akizungumza na Wataalam wa kujitolea
kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa hafla fupi ya
kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi
Afisa Utumishi
Mwandamizi, Ofisi
ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Bi Juliana Massawe akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya
Rais-Utumishi
Mratibu wa Wataalam wa kujitolea, Bw. Tsujimoto Makoto akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea wa Japani waliokuja
kutoa huduma nchini wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao
iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi
Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Ushirikiano wa Kimataifa wa Ofisi ya Rais-Menejimenti
ya Utumishi wa Umma, Bw. Msafiri Marwa akiagana na Wataalam wa kujitolea kutoka
Japani waliokuja kutoa huduma nchini mara baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha
Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi



0 Comments