Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio kuhutubia mkutano wa hadhara, Februari 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio Februari 18, 2018.
Baadhi ya wananchi wa Ukerewe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio Februari 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea zahanti ya Nakatunguru wilayani Ukerewe akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Februari 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga aliyepakatwa na mama yake mzazi, Dianna Malele, baada ya kuzindua zahanati ya Nakatunguru wilayani Ukerewe, Februari 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga aliyepakatwa na mama yake mzazi, Rizika Shaka baada ya kuzindua zahnati ya Nakatunguru wilayani Ukerewe, Februari 18, 2018.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments