Waziri Mkuu Majaliwa Katika Hafla ya Chakula kwa Ajili ya Watu Wenye Ulemavu Diamond Jubilee - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 5 February 2018

Waziri Mkuu Majaliwa Katika Hafla ya Chakula kwa Ajili ya Watu Wenye Ulemavu Diamond Jubilee

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya watu wenye ulemavu, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Februari 4, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na muimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Saida Kalori, katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya watu wenye ulemavu, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Februari 4, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi walioshiriki katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya watu wenye ulemavu, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Februari 4, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpatia chakula mtoto Mwahija Hassan, katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya watu wenye ulemavu, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Februari 4,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpatia chakula mtoto Ibrahim Shaibu, katika hafla ya chakula cha mchana kwa ajili ya watu wenye ulemavu, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Februari 4, 2018.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages