Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa bwawa la maji kwa
ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo la Mwanjolo wilayani Meatu
mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandishi Isack Kamwelwe akitoa maelezo ya
mradi wa ujenzi wa bwawa la maji Mwanjolo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwasalimia wananchi
wa Mwanjolo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la
Maji Mwanjolo, Meatu. (picha na ofisi ya Makamu wa Rais)











0 Comments