Random Posts

Benki ya TPB Yakabidhi hundi ya Sh.milioni 2 Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa Ajili ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wahariri

Meneja wa mawasiliano wa Benki ya TPB, Chichi Banda (kulia), akimkabidhi Mfano wa hundi ya Sh.milioni 2 Kwa mratibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Anita Kosuri, kwa ajili ya kusaidia maandalizi ya mkutano mkuu wa wahariri Tanzania utakaofanyika hivikaribuni mkoani Morogoro. 

(Na Mpigapicha Wetu). 

Post a Comment

0 Comments