Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya
Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa
mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma.
Baadhi ya Wabunge wakifuatilia
kwa makini mawasilisho ya Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa
Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni
Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (katikati) akisikiliza jambo kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Jitu Soni, nje ya Bunge
baada ya mawasilisho ya Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa
na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni
Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani
Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) baada ya kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya
Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya
Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma
Mbunge wa Busega Dkt. Raphael
Chegeni (kushoto) akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor
Mpango (Mb) (kulia) baada ya kuwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa
Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka
2018/2019 Bungeni Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango)
0 Comments