Random Posts

Makamu wa Rais akutana na balozi wa Ufaransa na Mkurugenzi Mkazi wa WFP

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Frédéric CLAVIER aliyemtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake ,Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Frédéric CLAVIER ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani(WFP) hapa nchini  Bw. Michael Dunford ambaye alifika ofisni kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani(WFP) hapa nchini  Bw. Michael Dunford ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Post a Comment

0 Comments