Mwenyekiti wa kamati
ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia akizungumza na Wajumbe wa kamati
hiyo pamoja na viongozi wakuu kutoka Wizara ya fedha na Mipango (hawapo kwenye
picha) wakati wa kupitia na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha
2018/2019. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango
katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma Machi 26, 2018.
Mjumbe wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Maria kangoye akizungumza wakati wa kupitia na
kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019 katika kikao
kilichofanyika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma. kushoto ni Mjumbe wa
kamati hiyo Mhe. Riziki Lulidi
Mjumbe wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Albert Ntabaliba akizungumza wakati wa kupitia
na kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019 katika kikao
kilichofanyika leo ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati
ya kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia akizungumza na Wajumbe wa kamati
hiyo pamoja na viongozi wakuu kutoka Wizara ya fedha na Mipango walioongozwa na
Waziri wa fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango wakati wa kupitia na
kujadili Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019, katika kikao
kilichofanyika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
0 Comments