Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Hafidh Jabir Ali mwenye umri wa miaka
3 aliyelazwa kutokana na kuungua na chai katika hospitali ya Abdala
Mzee, mkoa wa Kusini Pemba.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Rayna Abdala mwenye umri wa mwaka
mmoja aliyelazwa kutokana na kuungua moto katika hospitali ya Abdala
Mzee, mkoa wa Kusini Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Wuxiao Shu juu ya matibabu
ya mguu wa mtoto AzarAli mwenye umri wa miaka aliyelazwa katika
hospitali ya Abdala
Mzee, mkoa wa Kusini Pemba.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi nje ya majengo ya hospitali ya Abdala
Mzee, mkoa wa Kusini Pemba mara baada ya kukagua maendeleo ya hospitali hiyo.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

0 Comments