Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na viongozi wengine wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya
Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami
katika eneo la Uyovu mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na mamia ya wananchi wa Uyovu mkoani Geita kabla ya kufungua rasmi
wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahi wakati akitizama kwaya ya Baraka ilipokuwa ikitumbuiza katika sherehe
za ufunguzi wa barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45
iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wanakwaya ya Baraka wakati alipowasili Uyovu kwa ajili ya ufunguzi
wa barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wakazi wa Nyakayondwa Bangwa mkoani Geita wakati akielekea Uyovu
kwa ajili ya ufunguzi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Sehemu
ya Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na wananchi wa Uyovu mara baada ya kufungua Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km
45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango
cha lami. PICHA NA IKULU











0 Comments