Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132
iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya Isaka-Ushirombo km 132
iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na mamia ya wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya
Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telak wakwanza kushoto,
wabunge wa mkoa wa Shinyanga pamoja na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi
CCM waliohamia kutoka vyama vya Upinzani.
Sehemu
ya Wananchi waliofika kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara ya Isaka-Ushirombo
km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Masumbwe Mbogwe mkoani Geita wakati akielekea Kahama
mkoani Shinyanga.
PICHA NA IKULU











0 Comments