Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon
Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam Machi 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada ya
kumuapisha Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania
nchini Urusi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi
21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu
kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es salaam Machi 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha IGP Mstaafu
Ernest Jumbe Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Machi 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashuhudia Meja Jenerali mstaafu
Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu wakila kiapo cha maadili ya
viongozi baada ya kuwaapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Machi 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi mpya wa
Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu (hayupo pichani alipokuwa
akizungumza) mara baada ya hafla fupi ya uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya
Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi
kumaliza kuzungumza katika hafla fupi ya uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan,
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.
Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi balozi John Kijazi Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Ramadhani Mwinyi pamoja na viongozi wa
vikosi vya Ulinzi na Usalama katika picha ya pamoja na Meja Jenerali mstaafu
Simon Marco Mumwi na IGP Mstaafu Ernest Jumbe Mangu baada ya kuwaapisha
kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi na Rwanda katika hafla fupi iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam Machi 21, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu mara baada ya hafla fupi ya uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Urusi Meja Jenerali mstaafu Simon Marco Mumwi(kushoto) pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu (kulia) mara baada ya hafla fupi ya uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda IGP Mstaafu Ernest Mangu akiwa katika picha na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro(wa kwanza kulia)Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala wa kwanza kushoto, Mkuu wa Jeshi la Magereza Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa(wapili kutoka kulia) pamoja na viongozi wengine wa Jeshi la polisi mara baada ya hafla ya Uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Picha na IKULU

0 Comments