Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Mauricio Ramos Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Millicom International Service LLC
(wanne kutoka kushoto)ambayo inamiliki Kampuni ya simu ya Tigo aliyefika Ikulu
pamoja na ujumbe wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL kutoka nchini Ujerumani na Denmark
Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa Denmark Einar
Hebogard Jensen aliyeongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL kutoka nchini Ujerumani na Denmark
Ikulu jijini Dar es Salaam
PICHA NA IKULU

0 Comments