Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage mara baada
ya kufungua kiwanda cha Sigara cha Mansoor Industries ltd kilichopo chini ya
leseni ya Phillip Morris Tanzania katika eneo la Kingolwira mkoani Morogoro. Wa
kwanza kushoto ni Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Phillip Morris Tanzania Dagmara
Piasecka akipiga makofi, wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Steven
Kebwe pamoja na Mmiliki wa kiwanda cha Sigara Mansoor Shanif Hirani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
Tumbaku inayotumika katika utengenezaji wa Sigara hizo za Marlboro mara baada
kufungua kiwanda hicho cha Sigara mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia mapakiti ya sigara hizo za Marlboro wakati akikagua utendaji kazi wa
shughuli mbalimbali za kiwanda hicho mara baada ya kukifungua.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia mojawapo ya hatua katika utengenezaji wa Sigara mara baada ya
kufungua kiwanda hicho mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia mojawapo ya vifungashio vya Sigara hizo kiwandani hapo mara baada ya
kukifungua.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wananchi waliofika katika sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha
Sigara cha Mansoor kilichopo Kingolwira mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Msanii mkongwe Selemani Msindi au Afande Selle mara baada ya
kuhutubia wananchi waliofika katika sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha Sigara
cha Mansoor kilichopo Kingolwira mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Msanii mkongwe wa Bongo flavour Selemani Msindi au Afande Selle
mara baada ya kutoa burudani ya mziki na kutangaza rasmi kuhamia katika Chama
cha Mapinduzi CCM katika sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha Sigara cha Mansoor
kilichopo Kingolwira mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi waliofika katika sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha
Sigara cha Mansoor kilichopo Kingolwira mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Chifu Kingalu Mwanabanzi wa Kabila la Waluguru wa Morogoro mara
baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi waliofika katika kiwanda cha Sigara
cha Mansoor kilichopo Kingolwira mkoani Morogoro.
Msanii
mkongwe wa Bongo flavour Selemani Msindi au Afande Selle akipongezwa na baadhi
ya wananchi mara baada ya kuimba wimbo wake wa Mimi ni Msanii katika sherehe za
ufunguzi wa kiwanda cha Sigara cha Mansoor mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Steven Kebwe mara baada ya
kuzindua kiwanda cha Sigara mkoani Morogoro.
Msanii mkongwe wa Bongo flavour Selemani
Msindi au Afande Selle akitumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha
Sigara mkoani Morogoro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimsalimia mfanyabiashara mdogo (Machinga) wa
Mama Havintoshi ambaye aliwasilisha kero yake ya kunyanyaswa wakati
akifanya biashara zake katika stendi ya daladala ya mjini Morogoro.
Mfanyabiashara
mdogo (Machinga) wa Mama Havintoshi
ambaye aliwasilisha kero yake ya kunyanyaswa wakati akifanya biashara zake
katika stendi ya daladala ya mjini Morogoro akichangiwa fedha na wadau
mbalimbali mara baada ya kero yake kupatiwa ufumbuzi na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Mmiliki wa kiwanda hicho cha Sigara Mansoor Shanif Hirani
mara baada kufungua kiwanda hicho.
PICHA NA IKULU

0 Comments