Random Posts

Ufunguzi wa Kongamano la Kitafa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizindua jarida la Mkakati wa kuzuia Rushwana Uhujumu wa Uchumi  Zanzibar katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha jarida la Mkakati wa kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi  Zanzibar  baada ya kulizindua rasmi jarida hilo   katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua  Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja
 Viongozi wa Idara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
 Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi wengine wakiwa katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
 Makatibu katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Uchumi Zanzibar lililofanyika leo katika  Ukumbi wa zamani wa  Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)

Post a Comment

0 Comments