Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Ricardo Tadeu Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev katika
ukanda wa Afrika ambao ni Wanahisa wakuu wa Kampuni ya Bia ya Tanzania
Breweries Ltd kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpango kabla ya
kuanza kikao chake na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu
katika ukanda wa Afrika ambao ni Wanahisa wakuu wa Kampuni ya Bia ya Tanzania
Breweries Ltd ambayo inatarajia kujenga kiwanda kikubwa cha Bia mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo mara baada ya kikao chake na ujumbe wa Kampuni ya Bia
ya Tanzania Breweries Ltd uliokuwa ukiongozwa na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch
InBev Ricardo
Tadeu ambao ni wanahisa wakuu wa Kampuni hio ya TBL.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Rais wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu mara baada ya mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Mmoja wa Wakurugenzi wa TBL katika ukanda wa Afrika Mashariki Roberto Jarrin
mara baada ya mazungumzo na ujumbe huo.
Rais
wa Kampuni ya Anheuser-Busch InBev Ricardo Tadeu ambao ni wanahisa wakuu wa Kampuni
ya TBL akizungumza na wanahabari kuhusu TBL ambayo itajenga kiwanda kikubwa cha
Bia mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU






0 Comments