Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman mara baada ya kuwasili Ikulu
kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika kikao na ujumbe kutoka nchini Israel uliokuwa ukiongozwa na Waziri wa
Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na mgeni wake Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor
Lieberman wa kwanza (kushoto kwake) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika
picha ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wa nne
kutoka (kulia) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Florence Turuka wa kwanza
kushoto aliyesimama mstari wa nyuma pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya
Ulinzi na Usalama pamoja na makamanda mbalimbali kutoka makao makuu ya Jeshi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na mgeni wake Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman mara baada ya kikao
chao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi wa sita kutoka (kulia) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Florence Turuka wa pili kutoka kushoto pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na makamanda mbalimbali kutoka makao makuu ya Jeshi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na makamanda mbalimbali kutoka makao makuu ya Jeshi mara baada ya kumalizika
kwa kikao chao na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar
es Salaam.
PICHA NA IKULU







0 Comments