Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa
itakayotumia umeme Standard Gauge (SGR) itakayotoka mkoani Morogoro hadi
Makutupora Dodoma katika eneo la Stesheni ya Ihumwa nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Wengine katika picha ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Balozi wa Uingereza hapa nchini
Sarah Cooke wakishuhudia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua
kitambaa wakati akiweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa
itakayotumia umeme Standard Gauge (SGR) itakayotoka mkoani Morogoro hadi
Makutupora Dodoma katika eneo la Stesheni ya Ihumwa nje kidogo ya mji wa
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunga
kifuniko mara baada ya kutumbukiza karatasi ya majina ya viongozi mbalimbali
waliofanikisha ujenzi huo kama kumbukumbu katika uwekaji wa jiwe la msingi la
Reli ya Kisasa(SGR) itakayotoka mkoani Morogoro-hadi Makutupora Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
saruji iliyochanganywa na kokoto kwenye jiwe hilo la msingi la ujenzi wa Reli
ya Kisasa kutoka mkoani Morogoro-hadi Makutupora Dodoma yenye urefu wa km 422
katika eneo la Ihumwa stesheni mkoani Dodoma.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiweka saruji iliyochanganywa na kokoto kwenye jiwe hilo
la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa mkoani Morogoro-hadi Makutupora Dodoma
yenye urefu wa km 422 katika eneo la Ihumwa stesheni mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe pamoja Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa Reli
ya Kisasa ya umeme kutoka mkoani Morogoro-hadi Makutupora Dodoma yenye urefu wa
km 422 katika eneo la Ihumwa stesheni mkoani Dodoma. Wengine katika picha ni
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Pro.
Makame Mbarawa, Mkurugenzi mtendaji wa
Shirika la Reli TRC Masanja Kadogosa pamoja na viongozi wengine.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
mfano wa Reli hiyo ya Kisasa itakayotumia umeme mara baada ya kuweka jiwe la
msingi katika eneo la Ihumwa stesheni mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia baadhi ya wabunge waliofika kwenye uzinduzi wa Reli hiyo ya Kisasa
SGR itakayo toka Morogoro hadi Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la Reli hio ya Kisasa
katika eneo la Ihumwa Stesheni mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwashukuru madereva wa magari yatakayofanya kazi ya ujenzi wa reli hiyo ya
kisasa SGR itakayo toka Morogoro hadi Dodoma.
Sehemu ya wananchi
mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi.
Treni
ya zamani ikipita katika Reli za zamani katika eneo la Ihumwa stesheni mkoani
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wananchi wakati akiwasili katika eneo la Ihumwa Stesheni kwa ajili
ya uwekaji wa jiwe la msingi.
Mtendaji
Mkuu wa Shirika la Reli TRC Masanja Kadogosa akitoa maelezo ya mradi huo wa Reli
ya kisasa ya umeme kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia zawadi ya picha ya yenye taaswira ya Treni ikipita kwenye handaki
maeneo ya Morogoro aliyopewa na Mwenyekiti wa Kampuni ya Yapi Markez Eng. Erdem
Aroglu kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Reli ya Kisasa ya umeme
itakayotoka Morogoro hadi Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuhutubia wananchi
waliofika katika sherehe uwekaji wa jiwe
la msingi ujenzi wa reli ya kisasa ya Umeme itakayotoka Morogoro hadi Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi waliofika katika sherehe uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa reli ya
kisasa ya Umeme itakayotoka Morogoro hadi Makutupora Dodoma yenye urefu wa km
422.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wabunge mbalimbali waliohudhuria katika sherehe uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa reli ya
kisasa ya Umeme itakayotoka Morogoro hadi Makutupora Dodoma yenye urefu wa km
422.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wasanii wa Tanzania All stars waliokuwa wakiimba wimbo wa
Uzalendo wa Tanzania wakati akielekea kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Reli ya
kisasa ya Umeme mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wananchi hawaonekani pichani waliohudhuria sherehe uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa reli ya
kisasa ya Umeme itakayotoka Morogoro hadi Makutupora Dodoma yenye urefu wa km
422.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa, baadhi ya viongozi wastaafu,
Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, pamoja na Mawaziri, Manaibu Waziri wa wizara
mbalimbali mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa reli ya kisasa ya
Umeme itakayotoka Morogoro hadi Makutupora Dodoma yenye urefu wa km 422. Watatu
kutoka kulia waliosimama ni Balozi wa Uingereza hapa nchini Bi. Sarah Cooke
Katibu
mkuu Tumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza jambo na Katibu mkuu wa Wizara
ya Fedha na Mipango Doto James wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
ujenzi wa reli ya kisasa ya Umeme itakayotoka Morogoro hadi Makutupora Dodoma
yenye urefu wa km 422.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Ihumwa mkoani Dodoma wakati akitoka
katika Stesheni ya Ihumwa kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa ya umeme.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na shule ya msingi Ihumwa mkoani Dodoma wakati akitoka
katika Stesheni ya Ihumwa kuzindua ujenzi wa Reli ya kisasa ya umeme.
Balozi
wa Uingereza hapa nchini Bi. Sarah Cooke akiweka saruji iliyochanganywa na
kokoto kwenye jiwe hilo la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa ya umeme kutoka
mkoani Morogoro-hadi Makutupora Dodoma yenye urefu wa km 422 katika eneo la
Ihumwa stesheni mkoani Dodoma.
Waziri
Mkuu mstaafu Mizengo Pinda akiweka saruji iliyochanganywa na kokoto kwenye jiwe
hilo la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa ya umeme kutoka mkoani Morogoro-hadi
Makutupora Dodoma yenye urefu wa km 422 katika eneo la Ihumwa stesheni mkoani
Dodoma. PICHA NA IKULU

0 Comments