Mkurugenzi
wa Idara ya Usalama wa Chakula kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Elimpaa
Kiranga akitoa hotuba kwa niaba ya Waziri Dk Charles Tizeba wakati
akizindua programu ya miaka mitano ya
Shirika la WE EFFECT Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018.
wenye lengo la kukuza maendeleo Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini
kwenye kilimo hapa nchini.
Balozi wa
Sweden nchini Tanzania Bi. Katarina
Rangnitt akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya miaka mitano
ya Shirika la WE EFFECT uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018. wenye
lengo la kukuza maendeleo Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini hapa
Tanzania.
Mkurugenzi wa Shirika la WE EFFECT Kanda ya Afrika Mashariki,Bwana. Hans Lind
akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi.
Mwakilishi kutoka Shirika la WE EFFECT Tanzania, Bi. Nasieku
Kissambu akielezea utekelezaji kwa makundi mbalimbali kwa wakulima na miradi
wakati wa uzinduzi wa programu ya miaka mitano ya Shirika la WE EFFECT Tanzania
uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018. wenye lengo la kukuza maendeleo
Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini kwenye kilimo hapa nchini.
Moja ya picha inayoonesha kazi zinazofanywa na shirika hilo.
Wadau kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika
uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa programu Shirika la WE EFFECT Tanzania, Bwana.
Geerge Onyango akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi.
Picha Ya Pamoja.
Mkurugenzi wa Shirika la WE EFFECT Kanda ya Afrika Mashariki,Bwana. Hans Lind akijadiliana jambo na Balozi wa
Sweden nchini Tanzania Bi. Katarina
Rangnitt.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON












0 Comments