Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakati akielekea
mkoani Singida
Wananchi
wa Kagongwa Kahama mkoani Shinyanga wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili
katika eneo hilo wakati akielekea mkoani Singida.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuashiria ufunguzi wa kiwanda cha Kahama Oil mills kilichopo Kahama
mkoani Shinyanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amekalia moja ya kiti kilichotengenezwa na kiwanda cha Kahama Oil mills wakati
akikagua bidhaa zinazo tengenezwa kiwandani hapo Kahama mkoani Shinyanga.
Pembeni yake ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Telak.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
moja ya mabomba ya plastik yanayo tengenezwa katika kiwanda hicho cha Kahama
Oil mills kilichopo Kahama mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda
cha Kahama Oil mills mara baada ya
kukifungua.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Tinde mkoani Shinyanga wakati akielekea mkoani Singida.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Igunga mkoani Tabora wakati akielekea mkoani
Singida.
PICHA NA IKULU

0 Comments