Diamond amepokea tuzo hiyo na kukabidhiwa na Mtangazaji wa Kipindi hicho @LilOmmy baada ya kumaliza mahojiano (interview) na uchambuzi wa album yake mpya ya A Boy From Tandale. #ThePlaylist #Plaque #NyotaWaMchezo #WCB #UMG #AboyfromTandale cc @djd_slash



0 Comments