Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Afya wa Uganda
.Sarah Opendi ,wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 65 wa Baraza la Mawaziri
wa Afya wa Jumuiya ya Nchi za Mashariki Kati na Kusini mwa Africa
(ESCA Health Community) kushoto ni Wazri wa Afya wa Malawi Atupele
Muluzi,Waziri Mkuu amefungua mkutano huo March 19/2018 Jijini Dar
es salaam .
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


0 Comments