Wawili hao walikamatwa kwa makosa ya “kupanga njama dhidi ya Rais” baada ya kumuangusha mara kadhaa wakati wakigombea mpira
–
Imezoeleka nchini humo Rais Nkurunziza kupewa upendeleo na Wachezaji wa timu pinzani ikiwemo kumuacha afunge magoli lakini hali ilikuwa tofauti katika mchezo huo uliohusisha baadhi ya Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

0 Comments