Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akizungumza wakati akizindua Bodi mpya ya saba ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB) uzinduzi huo ulifanyika katika ofisi hiyo Machi 1, 2018 Jijini Dar es Salaa.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akitoa msisitizo kwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya saba ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB), Dr. Ludigija Bulamile wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo uliofanyika katika ofisi hiyo Machi 1, 2018 Jijini Dar es Salaa.
Kaimu Msajili Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi, Albert Munuo akisoma hotuba wakati akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa kuzindua Bodi hiyo.
Mwenyekiti mpya wa Bodi mpya ya saba ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB), Dr. Ludigija Bulamile akizungumza.
Mwenyekiti mpya wa Bodi mpya ya saba ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB), Dr. Ludigija Bulamile akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi, huku Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akiandika maelezo ya Mwenyekiti huyo uzinduzi huo ulifanyika katika ofisi hiyo Machi 1, 2018 Jijini Dar es Salaa
Mwenyekiti wa Bodi ya AQRB aliyemaliza muda wake, Dk. Ambwene Mwakyusa akitoa hotuba yake na kutoa neno la shukrani.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa akisaini kitabu cha wageni mara baada kuwasili uzinduzi hiyo.
Picha ya pamoja.
Picha zote na Philemon Solomon.










0 Comments